Friday, October 10, 2014

TANZIA: OMAR NDEGE MGORI AFARIKI DUNIA NCHINI INDIA



TANZIA: OMAR NDEGE MGORI AFARIKI DUNIA NCHINI INDIA
Familia ya  Mzee Ndege Inasikitika kutangaza  kifo cha  ndugu yao mpendwa Omar Ndege Mgori  (pichani) kilichotokea India. Mipango ya mazishi inafanywa nyumbani kwa Marehemu Mbezi Juu Njia ya Goba.Habari ziwafikiw ndugu, jamaa na marafiki popote pale walipo.

Kwa taraarifa zaidi wasiliana na :

0718066661 - Jaji Mgori
0787523152 - Tumaini Mgori
+199869103747 - Mohammed Mgori