Sunday, October 12, 2014

TAARIFA YA MSIBA



TAARIFA YA MSIBA
Mwenyekiti wa African Stars Entertainment (ASET) Baraka Msiilwa anasikitika kutangaza kifo cha mdogo wake Bi Furaha Ramadhani Baraka,kilichotolea wikiendi hii jijini Brussels, Ubelgiji.

 Mipango inafanywa kuurejesha mwili wa marehemu nyumbani kwa mazishi. 

Habari ziwafikie ndugu, jamaa, majirani na marafiki popote pale walipo

-Amina