Meneja wa Masoko wa Kampuni ya Smile Communications,Linda Chiza (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuzindua huduma mpya ya SmileOn itakayomuwezesha Mteja wa Smile kutumia huduma ya Internet hapa kama kifurushi chake kikekwisha.kushoto ni Afisa Mkuu wa Utendaji na Miradi,Athuman Ibrahim Nzowa na kulia ni Meneja Huduma kwa Wateja,Gabriel Ndobho.