Tuesday, October 14, 2014

Rais Kikwete atoa hotuba Kilele cha Mbio za Mwenge Mkoani Tabora

Rais Kikwete atoa hotuba Kilele cha Mbio za Mwenge Mkoani Tabora
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa kilele cha mbio za mwenge 2014 ziilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora leo(picha na Freddy Maro)