Friday, October 03, 2014

Picha Kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa:Balozi mpya wa Ufaransa nchini Tanzania Malika Berak Awasilisha Rasmi Nakala Za Hati za Utambulisho kwa Mkuu wa Itifaki Balozi Juma Maharage

 Balozi mpya wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Malika Berak akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mkuu wa Itifaki Balozi Juma Maharage 
 Mhe. Beraki akiweka saini katika kitabu cha wageni
 Balozi Malika Berak akizungumza na Balozi Maharage mara baada ya kuwasilsha nakala za Hati za Utambulisho
Kushoto ni mkurugenzi msaidizi Idara ya Itifaki Bw. James Bwana, kulia ni Afisa Mambo ya Nje Bi. Mona Mahecha wakifuatilia kwa makini mazungumzo kati ya Balozi Malika Berak na Balozi Maharage.Picha na Wizara ya Mambo ya Nje