Wednesday, October 15, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL AZINDUA RASMI UKUMBI WA MIKUTANO WA MWADHAMA LAUREAN KADINALI RUGAMBWA



MAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL AZINDUA RASMI UKUMBI WA MIKUTANO WA MWADHAMA LAUREAN KADINALI RUGAMBWA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania Mhashamu Askofu Tarcius Ngalekumtwa, wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Mwadhama Laurean Kadinali Rugambwa Oysterbay kwa ajili ya kuhudhuria ghafla ya makabidhiano ya ukumbi huo jana jioni.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Askofu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam Mwadhama Polycap Kadinali Pengo kwa pamoja wakikata utepe kuzindua rasmi ukumbi wa Mwadhama Laurean Kadinali Rugambwa Oysterbay jijini Dar es salaam jana jioni.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua pazia kuzindua rasm ukumbi wa Mwadhama Laurean Kadinali Rugambwa Oysterbay jijini Dar es salaam jana jioni.Picha na OMR