Tuesday, October 21, 2014

KAMATI YA BUNGE YA TAMISEMI ZIARANI MKOA WA PWANI



KAMATI YA BUNGE YA TAMISEMI ZIARANI MKOA WA PWANI
Wajumbe wakipata maelezo kutoka kwa uongozi wa Mkoa wa Pwani pamoja na Hospitali ya Tumbi kuhusu upanuzi wa hospitali hiyo.
Wajumbe wakikagua Jengo Jipya la Hospitali ya Tumbi linaloendelea kujengwa.
Wajumbe wa Kamati ya TAMISEMI wakitembelea Shule ya Sekondari Mihande iliyopo Mlandizi Mkoa wa Pwani kukagua Ujenzi unaondelea.
Wajumbe wa Kamati hiyo wakipata Maelezo kuhusu Ujenzi wa maabara ya Shule ya Sekondari Mihande.