Friday, October 10, 2014

Benki ya CRDB yaadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja



Benki ya CRDB yaadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja
Meneja  wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu (kushoto) akiwa na Meneja wa tawi la Meru, Loiyce Kapaliswa wakimkabidhi msaada Mwenyekiti wa Kituo cha kusaidia Wazee Arusha, Mzee Ngonyani  ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma  Wateja. Kulia ni Ofisa wa Benki ya CRDB, Pamela.

Wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la moshi. Wakikata keki kama maadhimo ya Wiki ya Wateja wa Benki ya CRDB.


Meneja Uhusiano wa Akaunti ya Tanzanite ya Benki ya CRDB, Lucy Naivasha  akiwapa Champagne wateja wa Benki hiyo wa tawi la UDSM wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Wateja.