Wednesday, October 15, 2014

balozi kamala akutana na katibu mkuu wa taasisi ya kusambaza umeme vijijini na Mkuu Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Jiji la Oestende la Ubelgji



balozi kamala akutana na katibu mkuu wa taasisi ya kusambaza umeme vijijini na Mkuu Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Jiji la Oestende la Ubelgji
Balozi wa Tanzania Ubelgji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kulia) akiwa katika  picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Taasisi ya Kusambaza Umeme Vijijini katika nchi  zinazoendelea Bwana. Marcus Wieman (katika). Bwana Wieman  alikutana na Balozi Kamala leo Brussels kumweleza mipango ya taasisi yake ya kusambaza umeme vijijini katika nchi zinazoendelea.
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu  Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Jiji la Oestende la Ubelgji Mhe. Collins Nweke (katikati). Mhe. Collins alifika ofisini kwa  Balozi Kamala kumweleza mipango ya Jiji la Oestende kushirikiana na Tanzania. Kushoto ni Mhe. Nyamtara Mukome  Mratibu wa Masuala ya Uchumi katika Ubalozi wa Tanzania Ubelgiji.