Familia ya Kairuki inasikitika kutangaza kifo cha Bibi Ma Angelina Kairuki kilichotokea usiku wa kuamkia jumanne tarehe 2 Septemba 2014 katika Hospitali ya Kairuki.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa Mama Kairuki Mikocheni, Dar es salaam.
Habari ziwafikie Ndugu, Jamaa na Marafiki wote wanaohusika na Msiba huo popote pale walipo.