Wednesday, September 17, 2014

SHUKRANI


SHUKRANI
FAMILIA YA MAREHEMU APPOLINARY MUSABILA KUSAYA INAPENDA KUTOA SHUKRANI ZAKE ZA DHATI KWA NDUGU,JAMAA,MARAFIKI NA MAJIRANI KWA JINSI MLIVYOSHIRIKIANA BEGA KWA BEGA NA FAMILIA HIYO TANGU KIFO CHA MAMA YAO MPENZI YUSTINA YAKOBO KUSAYA KILICHOTOKEA JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 21/08/2014 HADI ALIPOPUMZISHWA TAREHE 25/08/2014 KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE KIJIJINI KAGUNGULI UKEREWE.NI WAZI KUWA KATIKA KUFANIKISHA MSIBA HUO MZITO MLITUMIA RASLIMALI ZENU KUBWA AMBAZO HAZIWEZI KUREJESHWA HATA KIDOGO.

FAMILIA KWA PAMOJA HAINA CHA KUWALIPA KWA MOYO WENU WA UPENDO MLIOUONESHA ZAIDI YA KUSEMA NENO AHSANTE.FAMILIA HIYO INAWAOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU MZIDI KUBARIKIWA NA KUPEWA NA ZIADA. BWANA ALITOA,BWANA AMETWAA,JINA LA BWANA LIHIDIMIWE..AMEN