Sunday, September 14, 2014

NJIA HATARISHI ZINAZOTUMIWA NA WANAFUNZI WANAPOKUWA WANAKWENDA SHULENI

NJIA HATARISHI ZINAZOTUMIWA NA WANAFUNZI WANAPOKUWA WANAKWENDA SHULENI
 Unaweza dhani ni michezo ya watoto ukiona picha hizi, lakini sivyo; Bali ni picha zilizopigwa kuonesha hali halisi ya wanafunzi wanaotumia njia hizi kufika shuleni kwao. Kwa njia nyingine za ajabu za watoto wa shule angalia picha hapa chini