Mkuu wa Majeshi Nchini Tanzania Davids Mwamunyange akisalimiana na Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba la Serikali ya Dubai (NAKHEEL) Mhe. Ali Rashid Ahmed Lootah alipo mtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam. |
Mh. Davis Mwamunyange akifanya mazungumzo na Mhe. Lootah mara tu baada ya kuwasili ofisini kwake, Mhe. Lootah katika ziara yake anaangalia fursa za uwekezaji katika uchumi, ujenzi wa nyumba na makaazi |
Afisa Mambo ya Nje Bw. Hangi Mgaka akifuatilia kwa makini mzungumzo kati ya Mhe. Davis Mwamunyange na Mhe. Lootah (Hawapo pichani) na (wakwanza na wapili kutoka kulia) ni wajumbe walioambatana na Mhe. Lootah katika ziara |
Kulia ni Balozi Mdogo Omar Mjenga akizungumza jambo huku Mhe. Davis mwamunyange (wakwanza kushoto) na Mhe. Lootah (katikati) wakimsikiliza wakielekea nje mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo. |
Katikati ni Mkurugenzi wa Nyumba kutoka Dubai Mhe. Ali Rashid Ahmed lootah, nawa kwanzakushoto ni Mkuu wa Majeshi nchini Tanzania Mhe. Davis Mwamunyange na wakwanza kulia ni Balozi mdogo wa Tanzania, Dubai Mhe. Omar Mjenga wakiwa katika picha ya pamoja. |
Picha ya Pamoja. Picha na Reginald Philip. |