Waziri wa Maji, Prof.                Jumanne Maghembe na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia,                Philippe Dongier wakikata utepe kuzindua rasmi Mpango wa                Awamu ya Pili ya Utekelezaji wa Maendeleo ya Sekta ya                Maji.
        .jpg)
Kaimu Katibu Mkuu wa                Wizara ya Maji, Inj. Mbogo Futakamba, akisoma hotuba                katika uzinduzi rasmi wa Mpango wa Awamu ya Pili ya                Utekelezaji wa Maendeleo ya Sekta ya Maji, akiwa na Waziri                wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe na Mkurugenzi Mkazi wa                Benki ya Dunia, Philippe Dongier.
                Waziri wa Maji, Prof.                Jumanne Maghembe, akisoma hotuba katika uzinduzi wa Mpango                wa Awamu ya Pili ya Utekelezaji wa Maendeleo ya Sekta ya                Maji.
        
.jpg)