Wednesday, September 24, 2014

MATUKIO YA SEMINA YA KUWAJENGEA UWEZO KUHUSU MISITU


MATUKIO YA SEMINA YA KUWAJENGEA UWEZO KUHUSU MISITU
MTOA MADA NA WAJUMBEMarko Kapata Diwani ya Mpanda ndogo Ahamed Mapengo   akichangia  mawazo yake katika semina ya Madiwani kuhusu misitu ili kuboresha jinsi ya kuhifadhi misitu na kuboresha mazingira, wengine wanaomsikiliza ni madiwani wenzake na watalaamu hawapo pichani.
NYAMBALA AFISA MISTUAfisa Misitu Mwanadamizi  wa HalmashaurI ya Mpanda Nyambala Lucas akiwasilisha mada  juu ya hoja ya kuhifadhi mapori ya Tongwe  Magahribi semina iliyowashilikisha   Madiwani na Wataalam kuhusu kuwajengea uelewa juu ya umuhimu wa uhifadhi misitu na uharibifu wa mazingira.Teodora MweseDiwani wa Viti Maalum Tarafa ya Mwese Teodora Kisesa mwenye gauni nyekundu akichangia kwenye semina hiyo.
(Picha zote na Kibada Kibada-Katavi)