IGP MANGU AFUNGUA JENGO LA DAWATI LA JINSIA NA WATOTO MKOA WA KILIMANJARO  |
Jengo la Dawati na Jinsia na Watoto lilojengwa katika kituo kikuu cha Polisi mjini Moshi. |
 |
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,Inspekta Jenerali wa Polisi ,Ernest Mangu akizungumza wakati wa uzinduzi wa jengo la dawati la Jinsia katka kituo kikuu cha Polisi mjini Moshi. |
 |
Kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Koka Moita akizungumza kabla ya kumkaribisha ,IGP ,Mangu kuzindua dawati la jinsia. |
 |
Mkuu wa Dawati la Jinsia mkoa wa Kilimanjaro,Grace Lyimo akisoma taarifa ya ujenzi wa jengo hilo. |
 |
IGP,Mangu akikata utepe kuashiria kuzinduliwa kwa dawati la jinsia katika kituo kikuu cha Polisi Moshi. |
 |
IGP ,Mangu akizindua jengo hilo kwa kufungua kitambaa akuonesha kibao chenye kumbukumbu ya ufunguzi wa jengo hilo. |
 |
IGP,Mangu akitembelea jengo hilo. |
 |
Kisha IGP,Mangu akafanya shughuli ya utoaji wa vyeti vya kutambua mchango kwa taasisi na kampuni mbalimbali zilizochangia ujenzi wa jengo hilo. |
 |
Wadau waliochangia ujenzi wa jengo hilo wakiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa jeshi la Polisi. |
 |
Kikosi cha Polisi jamii ,pia kilipata fursa ya kupata picha ya pamoja. |
 |
Watoto wa kituo cha Mkombozi wakiwa katika picha ya pamoja na IGP,Mangu. |
 |
Watoto wa kituo cha Amani wakiwa katika picha ya pamoja na IGP,Mangu. |
Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini.