Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Viongozi mbali mbali baada ya uzinduzi wa Mpango wa Magharibi ya Bahari ya Hindi ya Changamoto za Ukanda wa Pwani wa mabadiliko ya Tabianchi katika viwanja vya Orator Hotel,Apia Samoa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Waziri Mkuu wa Mauritius wakati wa chakula baada ya uzunduzi wa Mpango wa Magharibi ya Bahari ya Hindi ya Changamoto za Ukanda wa Pwani wa mabadiliko ya Tabianchi jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akigonganisha glasi na Viongozi mbali mbali kuonesha ishara ya uzinduzi wa Mpango wa Magharibi ya Bahari ya Hindi ya Changamoto za Ukanda wa Pwani wa mabadiliko ya Tabianchi wakati wa chakula katika ukumbi wa Orator Hotel,Apia Samoa.[Picha na Ramadhan Othman,Samoa.]