| Baadhi ya washindi wakionesha tuzo na vyeti walivyo kabidhiwa. |
| Mgeni rasmi katika mkutano huo wa 24 wa wananchama na wadau wa PPF unaofanyika jijini Arusha wakiwa katika picha na baadhi ya mawaziri pamoja na viongozi wa PPF. |
| Washindi wa tuzo wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi. |