Sunday, August 24, 2014

Wabunge wa Kamati ya Uongozi ya Bunge la Afrika Mashariki watembelea vyombo vya habari vya IPP



Wabunge wa Kamati ya Uongozi ya Bunge la Afrika Mashariki watembelea vyombo vya habari vya IPP
 Kaimu Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Guardian toleo la Jumapili Bwana Rodgers Luhwago (kushoto) akiwaonesha gazeti baadhi ya Wabunge wa Kamati ya Uongozi walipotembelea vyombo vya habari vya IPP jana Agosti 22. Wengine kutoka kushoto ni Spika Dkt. Margaret Zziwa, Shy-Rose Bhanji (Tanzania) na Hafsa Mosi (Burundi).
 Mhariri Mtendaji wa IPP Guardian Ltd Bw. Clement Mshana akiwakaribisha wageni
 Wabunge wa EALA wakiwasili The Guardian Ltd
Wabunge wa EALA wakipokea maelezo kutoka kwa mfanyakazi wa EATV na Radio walipotembelea vyombo vya Habari vya IPP jana
 Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Dkt Margaret Zziwa akizungumza baada ya kupokea maelezo kutoka kwa mfanyakazi wa EATV na Radio wakati wa Ziara ya wabunge hao IPP Media. Wa nne kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bi. Joyce Mapunjo.
 Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Dkt Margaret Zziwa akizungumza baada ya kupokea maelezo kutoka kwa mfanyakazi wa EATV na Radio wakati wa Ziara ya wabunge hao IPP Media. Wa nne kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bi. Joyce Mapunjo.
 Wabunge wa EALA, Katibu Mkuu Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bi. Joyce Mapunjo wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa EATV na Radio.
 Wabunge wakipata maelezo walipotembelea studio za ITV
 studio za ITV
 Wabunge wa EALA Hafsa Mosi (kushoto) na Shy-Rose Bhanji (kulia) walikumbushia enzi zao walipokua watangazaji (BBC- Hafsa na TVT- Shy-Rose) baada ya kutembelea studio za Radio One
 studio za ITV
 studio za ITV
 studio za ITV
 studio za ITV
 Chumba cha habari cha ITV
 Spika ZZiwa akimvisha beji ya EALA Mwenyekiti wa IPP Dkt Reginald Mengi kama kutambua mchango wake katika maendeleo ya Afrika Mashariki kupitia vyombo vyake vya habari. Hii ilikua baada ya chakula cha mchana katika hoteli ya Serena Dar es Salaam
Wabunge na wafanyakazi wa IPP na wageni wengine wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ziara ya vyombo vya habari vya IPP na  chakula cha mchana hoteli ya Serena Dar es Salaam
Members of the East African Legislative Assembly's (EALA) Commission, led by Speaker Rt. Hon Dr. Margaret Nantongo Zziwa, today had a successful visit to the East African leading media house—IPP Media.
The visit is one of several planned by the Assembly to seize the moment by visiting various stakeholders ahead of the much awaited EALA plenary sessions scheduled to start next Wednesday at Karimjee Hall in Dar es Salaam.
The Commissioners had an opportunity to visit electronic channels of ITV, Capital TV, East African TV, East African Radio, Radio One, Capital Radio and print media arm under IPP.
 They were impressed by the size and the level of hi-tech deployed by IPP to guarantee quality programming and broadcast.
Members had also an opportunity to meet and have an audience with IPP Media Mogul, Chairman Reginald Mengi at Serena Hotel where he hosted a luncheon for the legislators.
Mr Mengi unconditionally agreed to broadcast live the EALA plenary proceedings at request of Hon. Speaker.
The visit to the IPP Media set the basis for collaboration and enhances partnership between both organizations. 
The visit also sought to create sustained networking between media and legislators thus popularizing the integration agenda in the region.