Naibu Mstahiki Meya wa Kigoma, Mh. Ruhomvya Rashid Ruhomvya akifungua bomba la maji kwenye mojawapo wa vyoo vilivyokarabatiwa na Benki ya Posta kwenye Shule ya Msingi Kipampa, Kigoma. Wanaotazama ni Afisa Mtendaji Mkuu wa TPB Sabasaba Moshingi Mkuu wa shule ya Kipampa.
Ofisi Mtendaji Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Kipampa baada ya kuwakabidhi vyoo vipya pamoja na mfumo wa maji safi