Monday, August 04, 2014

SUMAYE AFUNGUKA YA MOYONI WAKATI WA UZINDUZI WA ALBAMU MPYA YA ROSE MUHANDO

SUMAYE AFUNGUKA YA MOYONI WAKATI WA UZINDUZI WA ALBAMU MPYA YA ROSE MUHANDO

Waziri Mkuu Mstaafu,Mh Frederick Sumaye alipokuwa akizungumza jana kwenye uzinduzi wa albamu mpya ya Mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili nchini,Rose Muhando iliyojulikana kwa jina la Shikilia Pindo la Yesu,uliofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar.