Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifocha Waziri Mkuu wa zamani wa Ireland, Albert Reynolds kwenye ubalozi wa Ireland jijini Dar es salaam August 28, 2014. kulia ni Balozi wa nchi hiyo nchini, Fionnuala Gilsenan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Ireland nchini, Fionnuala Gilsenan baada ya kutia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Albert Reynolds, kwenye ubalozi