Sunday, August 31, 2014

PINDA AKUTANA NA VIONGOZI WA TAASISI YA UTEPE MWEUPE



PG4A3948Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Viongozi wa Taasisi ya Utepe Mweupe(White Ribbon) Ofisini kwake jijini Dar es salaam August 30, 2014. Kutoka kushoto ni Lalia Carasciuc, Rose Mlay, Craig Ferta na Lydia Kamwanza. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)