Thursday, August 28, 2014

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI NGONGO HUKO LINDI




MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI NGONGO HUKO LINDI
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Ngongo iliyoko Lindi Mjini tarehe 27.8.2014.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Ngongo iliyoko Lindi Mjini tarehe 27.8.2014.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiangalia unga wa Muhogo wakati alipotembelea kwenye kiwanda cha kusindika unga huo kinachomilikiwa na  Tawi la Mkumbara katika Kata ya Jamhuri tarehe 27.8.2014.
Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete akiangalia kinu cha kusindika unga wa mhogo kinachomilikiwa na Tawi la Mkumbara katika Kata ya Jamhuri tarehe 27.8.2014.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwasalimia watoto baada ya kulitembelea Tawi la Mtanda lililoko katika Kata ya Jamhuri huko Lindi Mjini mara baada ya kufanya kikao cha ndani katika Tawi hilo tarehe 27.8.2014. Picha na John Lukuwi.