Wafanyakazi wa Kampuni ya Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Redio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha, wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Mkuu wa mkoa wa Manyara Erasto Mbwilo na viongozi wa Taso mara baada ya kunyakua ubingwa katika maonyesho ya kanda ya kaskazini kwa upande wa Sekta ya Mawasiliano na habari katika viwanja vya nane nane Themi jijini A rusha
Meneja masojo wa Tan Communication media Bi.Sarah Keiya akiwa na timu yake kutoka Redio 5 wakiwa wamebeba zawadi ya mbolea kwa washindi katika maonyesho hayo ambapo pia walitoa baskeli mbili
Mtangazaji wa Redio 5 Hilda Kinabo wa kipindi cha mishe mishe akiwa anafurahia kikombe walichoshinda baada Redio hiyo kushika nafasi ya kwanza katika sekta ya mawasiliano na habari kwa ukanda wa kaskazini
Godfrey Thomas mtangazaji wa kipindi cha Usiku wa Moto akiwa anaendesha baskeli kwaajili ya washindi wa maonyesho hayo
Mohamed ambaye pia ni Dj mkali sana wa Ataun city akishow love na kikombe walichokinyakua katika maonyesho hayo
Meneja masoko wa Tan media Bi.Sarah Keiya akiwa na baadhi ya timu yake wakifurahia kikombe katika banda lao la kudumu katika viwanja hivyo vya nane nane jijini Arusha
Wafanyakazi wa Redio 5 wakiwa katika nyuso za furaha,nyuma ni washabiki wao waliokuwa wakiwashangilia mara baada ya kushinda katika sekta ya mawasiliano na habari
Watatu kushoto ni Mtangazaji maafu Semio Sonyo wa kipindi cha Love cuts kilichompa umaarufu mkubwa kinachoruka jumatatu hadi ijumaa saa nne hadi saba usiku