Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu Dar es Salaam, imemhukumu kwenda jela miaka Mitatu aliyekuwa mkurugenzi wa TBS Bwana Charles Ikerege baada ya kukutwa na hatia katika makosa yaliyokuwa yakimkabili, ikiwa ni pamoja na matumizi mabaya ya Ofisi