Watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Idara ya Uwindaji wa Kitalii,Cites na Utalii wa Picha Kanda ya Kaskazini ,wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo ,Lazaro Nyalandu leo kwenye ziara yake mkoani Arusha.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akisalimiana na Askari Wanyama Pori jijini Arusha leo.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu(wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Idara ya Uwindaji wa Kitalii,Cites na Utalii wa Picha Kanda ya Kaskazini.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akifurahia Keki zilizoandaliwa katika Chuo cha Taifa cha Utalii Arusha.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu(wa nne kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Chuo cha Taifa cha Utalii kilichopo Sakina jijini Arusha na Idara ya Uwindaji wa Kitalii,Cites na Utalii wa Picha Kanda ya Kaskazini.