Friday, July 18, 2014

WALIMU WA MADRASSA VIJIJINI MKOA WA PWANI WATEMBELEWA NA KALAMU EDUCATION FOUNDATION



WALIMU WA MADRASSA VIJIJINI MKOA WA PWANI WATEMBELEWA NA KALAMU EDUCATION FOUNDATION
 Ustaadh Hussein Ahmad wa Madrassa Mukarramah (kushoto) akipokea Sehemu ya Zawadi za Chakula Kutoka Taasisi ya Kalamu Education Foundation wanaotembelea Sehemu za Mkoa wa Pwani kufahamu Walimu wa Madrassa wanavyoendesha shughuli zao katika Kipindi hiki Cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Pamoja nae ni Ndugu Ibrahim Biswalo Meneja Miradi wa Taasisi hiyo na Ndugu Mashaka Daudi Ofisa Usambazaji.
 Walimu wa Madrassa kutoka katoka Vijiji Mbali Mbali vya Wilaya ya Kisarawe wakiwa na baadhi ya Maofisi wa Taasisi ya Kalamu Education Foundation Katika Picha ya Pamoja baada ya Mashaulino juu ya Changamoto na mafanikio ya uendeshaji wa Madrassa hasa vijijini.
 Sehemu ya Zawadi za Chakula Kutoka Taasisi ya Kalamu Education Foundation wanaotembelea Sehemu za Mkoa wa Pwani kufahamu Walimu wa Madrassa wanavyoendesha shughuli zao katika Kipindi hiki Cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Pamoja nae ni Ndugu Ibrahim Biswalo Meneja Miradi wa Taasisi hiyo na Ndugu Mashaka Daudi Ofisa Usambazaji.
  Walimu wa Kike wamekuwa na faraja kubwa Taasisi  kama Kalamu zinapowatembelea vijijini mwao kwani ni nadra sana kutembelewa hasa kipindi hiki cha mfungo wa Mwenzi wa Ramadhani.
Ustaadh Salama Abdallah ni Miongoni mwa Walimu wa Madrassa wanawake akiwa pamoja na Dada Farida Mohamed wakati wa Ziara ya Kalamu Education Foundation.