Wednesday, July 09, 2014

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA TABORA ,JULAI 8, 2014



TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA TABORA LEO JULAI 8, 2014
 Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan S. Kaganda leo tarehe 08.07.2014 akiongea na waandishi wa habari na kutoa ufafanuzi juu ya mambo mbalimbali ikiwemo kukamatwa kwa wahamiaji haramu 17 kutoka nchini Burundi
 Sehemu ya wahamiaji haramu 17 kutoka nchini Burundi wakiwasili kituo cha kati Tabora
Mmoja wa wahamiaji haramu 17 kutoka nchini Burundi akiongea na wanahabari