Wednesday, July 09, 2014

Salamu za Lukas Kulwa baada ya Brazil kutandikwa wiki.


Wiki moja ina siku 7,
Shule ya msingi madarasa 7,
Huu ni mwezi wa 7,
Tupo msim wa sabasaba
Brazil wamefungwa 7
Game imeisha saa 7
Mathayo 7:1 Inasema "na iwe hivyo kwa
wenyeji wapewe vipande saba vya mkate
ili mgeni apewe kimoja,kwa maaana
bwana anataka tuwe wakarimu kwa
wageni"
Hii imeandikwa na ‪#‎NC‬