Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Pikipiki mmoja wa maafisa watendaji kata Wilaya ya Kilindi Bi.Elizabeth Mwita muda mfupi kabla ya Rais Kuhutubia Mkutano wa hadhara mjini Songe Kilindi jana.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi mkoani Tanga.(Picha na Freddy Maro).
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kombe katibu wa TFF Wilaya ya Kilindi Bwana Omari Javu wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Songe Kilindi jana.Kombe hilo lijulikanalo kama Kikwete cup litashindaniwa katika ligi ya wilaya ambapo mshindi atakabidhiwa kombe hilo na zawadi nyinginezo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia mkutano wa hadhara mjini Songe Kilindi Mkoani Tanga jana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia baadhi ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara mjini Songe Kilindi mkoani Tanga.