Saturday, July 26, 2014

Mwigulu Nchemba ahutubia mkutano wa Hadhara Mwanza



Mwigulu Nchemba ahutubia mkutano wa hadhara mwanza
 Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba akiwapungia wananchi alipokuwa akiingia kuhutubia katika mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Furahisha, jijini Mwanza leo. ambapo alizungumzia utata kuhusu Umoja wa Katiba ya Wananchi na kufutwa kwa baadhi ya misamaha ya kodi
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba akihutubia katika mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Furahisha, jijini Mwanza leo. ambapo alizungumzia utata kuhusu Umoja wa Katiba ya Wananchi na kufutwa kwa baadhi ya misamaha ya kodi.