Saturday, July 26, 2014

Maalim Seif Sharif Hamad, atembelea maduka mbali mbali ya nguo na viatu katika maeneo ya Mlandege, Mchangani na Darajani Zanzibar


Maalim Seif Sharif Hamad, atembelea maduka mbali mbali ya nguo na viatu katika maeneo ya Mlandege, Mchangani na Darajani Zanzibar
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitembelea maduka mbali mbali ya nguo na viatu katika maeneo ya Mlandege, Mchangani na Darajani Zanzibar jana usiku, kuangalia hali ya upatikanaji wa bidhaa hizo katika kipindi hiki cha kuelekea sikukuu ya Eid- El-Fitri. Picha zote na Salmin Said, OMKR
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitembelea maduka mbali mbali ya nguo na viatu katika maeneo ya Mlandege, Mchangani na Darajani Zanzibar
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na wafanyabiashara alipotembelea maduka mbali mbali ya nguo na viatu katika maeneo ya Mlandege, Mchangani na Darajani Zanzibar

"Asalaam aleikhum...."
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimia wananchi alipotembelea  maduka mbali mbali ya nguo na viatu katika maeneo ya Mlandege, Mchangani na Darajani Zanzibar
"...Hii bei gani?...