Tuesday, July 01, 2014

MILIONI 319 ZAPATIKANA KATIKA HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA KATOLIKI LA MAKONGO JUU JIJINI DAR ES SALAAM



MILIONI 319 ZAPATIKANA KATIKA HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA KATOLIKI LA MAKONGO JUU JIJINI DAR ES SALAAM
 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka (katikati), akizungumza katika harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki la Makongo Juu  iliyofanyika kanisani hapo Juni 29-2014 jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto ni Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, James Rugemalira, Mrs Rugemalira, Paroko wa Parokia ya Makongo Juu, Joseph Masenge, Mwakilishi wa Mkombozi Commecial Benki, Edina Lupembe na Respius Didace.
 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka (Wa pili kulia), akizungumza katika harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki la Makongo Juu  iliyofanyika kanisani hapo Juni 29-2014 jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto ni Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, James Rugemalira, Mrs Rugemalira ambao ni wakazi wa Makongo, Paroko wa Parokia ya Makongo Juu na  Joseph Masenge
 Wadau mbalimbali wakiwa kwenye sherehe hiyo.
 Wadau mbalimbali wakiwa kwenye sherehe hiyo.
  Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka na Paroko wa Parokia ya Makongo, Joseph Masenge wakiwa katika picha ya pamoja na watoto walioahidi kila mmoja kuchangia sh.100,000 za ujenzi wa kanisa hilo.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika harambee hiyo akiwaongoza wageni waalikwa wakati wa kuchukua chakula.Imeandaliwa na www.habari za jamii.com