Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe Juma Nkamia katika picha ya pamoja na kikosi cha JKT Dodoma mara baada ya kukagua vikosi hivyo.Timu hizi ndizo zilizo funguwa mashindano haya ya Klabu Bingwa ya Netiboli katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe Juma Nkamia katika picha ya pamoja na Kikosi cha Police Dodoma baada ya kukagua vikosi hivyo.Timu hizi ndizo zilizo funguwa mashindano haya ya Klabu Bingwa ya Netiboli katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe Juma Nkamia akikagua Kikosi cha JKT
Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe Juma Nkamia akikagua Kikosi cha Police Dodoma
Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe Juma Nkamia akilenga kapu(kufunga goli) akiashiria ufunguzi rasmi wa kufunguwa mashindano ya Klabu Bingwa ya Netiboli katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe Juma Nkamia akiangalia mpira alioulenga wakati akifungua mashindano ya Klabu Bingwa ya Netiboli katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
Na Deusdedit Moshi wa Mtendaji Mkuu wa Photo Solutions wawakilishi mwa Michuzi Blog Kanda ya Kati.