Mbunge wa viti maalum(uvccm)na mwenyekiti wa Taasisi ya Catherine Foundation ya mjini Arusha aliyevalia ushungi mweupe katikati Catherine Magige,akiwa na kikundi cha akinamamalishe baada ya kuwawezesha vifaa vya upishi kwaajili ya kuendeleza biashara yao ya chakula katika eneo la kilombero jijini Arusha leo ambapo aliwawezesha wanawake wajasiliamili 150 wa jijini Arusha wanaojishughulisha na uuzaji wa mbogamboga,mama ntilie,machinga.
Wakina mama wakiwa wanamsikiliza Mbunge wa viti maalum(uvccm)na mwenyekiti wa Taasisi ya Catherine Foundation ya mjini Arusha Mhe.Catherine Magige
Mbunge wa viti maalum(uvccm)na mwenyekiti wa Taasisi ya Catherine Foundation ya mjini Arusha Mhe.Catherine Magige akiwakabidhi kikundi cha akinamama kiasi cha shilingi laki mbili kwa kila kikundi ambapo alichangia jumla ya shilingi Milioni Moja na nusu kwa vikundi hivyo vya akina mama kwaajili ya kuwaezesha kuendeleza vikundi vyao vya vikoba
Mbunge wa viti maalum(uvccm)na mwenyekiti wa Taasisi ya Catherine Foundation ya mjini Arusha Mhe.Catherine Magige akiwa anamkabidhi mamantilie vyombo vya kuendeleleza biashara yao ya chakula katika eneo la kilombero jijini Arusha
Mbunge wa viti maalum(uvccm)na mwenyekiti wa Taasisi ya Catherine Foundation ya mjini Arusha Ctherine Magige akiwa anaongea na akina mama wajasiriamali ambapo aliwachangia kikundi cha sombetini jijini Arusha shilingi Laki tano nakukubali kuwa mlezi wao
Mbunge wa viti maalum(uvccm)na mwenyekiti wa Taasisi ya Catherine Foundation ya mjini Arusha aliyevalia ushungi Catherine Magige akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya akina mama
Mbunge wa viti maalum(uvccm)na mwenyekiti wa Taasisi ya Catherine Foundation ya mjini Arusha Mhe.Catherine Magige akiongea na akinamama ntilie mara baada ya kufanya ziara ya kuwatembelea wanavikundi hao na kujionea namna wanavyoendesha biashara zao