Friday, July 18, 2014

KUITWA KAZINI MAHAKAMA YA TANZANIA , JULAI 18 , 2014



KUITWA KAZINI MAHAKAMA YA TANZANIA , JULAI 18 , 2014 WAOMBAJI WA NAFASI ZA KAZI MBALIMBALI WALIOFANYA USAILI TAREHE 27/5/2014 HADI 03/06/2014 .

ORODHA YA MAJINA YA WALIOFAULU NA MAELEZO YAPO KWENYE GAZETI LA MWANANCHI LA IJUMAA , JULAI 18 ,2014

BARUA ZA AJIRA ZITATOLEWA BAADA YA KURIPOTI

WATAKAOSHINDWA KUPIPOTI SIKU 14 KUANZIA SIKU WALIYOPANGIWA , ZITAJAZWA MARA MOJA .