

Anaitwa IBRAHIM SAID
NI MKOMORO NA HAJUI KUONGEA KISWAHILI
NI MWANAFUNZI ANASOMA ZOOM POLYTECHNIC COLLEGE, DAR.
NI MWENYE UMRI WA MIAKA ISHIRINI.
NI KIJANA MWENYE MATATIFO YA AFYA YA AKILI.
KATOROKA NYUMBANI JUZI ALHAMIS MAJIRA YA ALFAJIRI
Mara ya mwisho Alionekana Maeneo ya Magomeni Mapipa, Dar es salaam, akiwa Amevalia T.shirt Ya Bluu na jeans.
Yeye ni Mwembamba, Mrefu kidogo na ni maji ya kunde.
Atakaye Mwona Atoe Taarifa Kituo Cha Polisi Kilicho Karibu.