Wednesday, July 09, 2014

KIGOGO WA CCM EMANUEL JOSEPH MBUZA AFARIKI DUNIA USIKU WA KUMKIA LEO


BREAKING NEWS.. KIGOGO WA CCM EMANUEL JOSEPH MBUZA AFARIKI DUNIA USIKU WA KUMKIA LEO
EMMANUEL JOSEPH MBUZA , Mhitimu wa sangu High school(2007), aliewahi kua Mfanyakazi wa Mbeya FM na generation FM, LLB & Masters ya sheria Tumain university, Kijana mjasiliamali na mpiganaji, ambaye alikuwa Katibu wa Siasa Itikadi na Uenezi CCM wilaya ya Mbeya Mjini, Mkurugenzi wa Sweet fm Radio, Sweet Televission na Action Mart Group of companies
(Mzaliwa wa mbeya aliekua anafanya biashara zake jijini Dar es salaam) Amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Mipango ya mazishi inafanyika kwa kaka yake tabata-Dar es salaam. 

Tutaendelea kuwapa Taarifa.