Waheshimiwa Wabunge Kamati ya Hesabu za Serikali walipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia wakiwa na Balozi Dr. Aziz P. Mlima na Maafisa wa Ubalozi leo. Waheshimiwa wapo Malaysia kwa shughuli za kikazi na mafunzo, wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa PAC ambaye pia ni Mbuneg wa Ludewa Mhe Deo H. Filikunjombe