Wednesday, July 09, 2014

BALOZI KAMALA ATEMBELEA MAONESHO YA BIASHARA YA SABASABA



BALOZI KAMALA ATEMBELEA MAONESHO YA BIASHARA YA SABASABA
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Property International Bwana. A. Haleem alipomtembelea banda la kampuni hiyo inayoshiriki Maonesho ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es salaam. Kampuni hiyo inatoa huduma za kupima ardhi na viwanja kwa kutumia teknolojia ya kisasa.