UZEMBE WA MADEREVA NDIYO CHNZO CHA AJARI TANZANIA AJARI HII IMETOKEA BUNJU A DAR-SALAAM. DEREVA WA LORI ALITAKA KULIPITA GARI DOGO LILILOKUWA MBELE YAKE WAKATI HUO HUO KARI DOGO HILO LILIKUWA LINA PINDA KONA HIKI NDICHO KILICHOTOEA. BAATI MZURI AKUKUTOKEA KIFO KATIKA AJARI HII.