Monday, June 02, 2014

WABUNGE NA WAHESHIMIWA WENGI HAPA MUJINI BONGO WAJITOKEZA KUMZIKA MAMA YAKE ZITTO CHADEMA TAIFA NA UKAWA WAMSUSIA!!

WABUNGE NA WAHESHIMIWA WENGI HAPA MUJINI BONGO WAJITOKEZA KUMZIKA MAMA YAKE ZITTO CHADEMA TAIFA NA UKAWA WAMSUSIA!!
Enzi za uhai wake Marehemu Mama yake Mbunge maarufu wa Chadema Zitto.

Waheshimiwa Wabunge Mhe Catherine,Mboni, Mhe Ester, Mhe Joyce,Mhe Halima., kwenye mazishi ya Mama yake Mbunge maarufu wa Chadema Mwandiga/Kigoma sasa hivi live!!

The Makamus Makamu mstaafu wa zamani wa UVCCM Taifa Mh. Beno Malisa & Makamu wa sasa Mh. Mboni Mhita live huko Kigoma.