Sunday, June 01, 2014

TAARIFA YA KIFO/MSIBA WA BABA MZAZI WA BEATRICE SINGANO



TAARIFA YA KIFO/MSIBA WA BABA MZAZI WA BEATRICE SINGANO
MAREHEMU MZEE WETU MOURICE NOEL SINGANO

MDAU WETU BEATRICE SINGANO  AMEONDOKEWA/AMEFIWA NA BABA YAKE MZAZI MPENDWA  MZEE MOURICE NOEL SINGANO, 

MZEE WETU  M.N. SINGANO ALIFARIKI JANA TAREHE 31/05/2014. NCHINI  INDIA - CHENNAI , MIPANGO YA MZISHI INAFANYIKA NYUMBANI KWA MTOTO WAKE MIKOCHENI B, DAR ES SALAAM.

KUFUATIA MSIBA HUO KUTAKUWA NA MISA MAALUM YA SIKU YA ALHAMISI KANISA LA MT. MARTHA MIKOCHENI DAR ES SALAAM.

MAZISHI YANATARAJIWA KUFANYIKA SIKU YA IJUMAA TAREHE 6/6/2014 MKOANI TANGA

BLOG HII INATOA SALAM ZA POLE KWA FAMILIA NZIMA, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WOTE 

...BWANA AMETOA NA BWA BWANA AMETWA JINA LA BWANA LIBARIKIWE