Mwenyekiti wa kamati ya kituo cha afya Mlandizi, bw Makamba Mwaluka (watatu kushoto), akiwakaribisha wageni kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya baada ya kufanya ziara katika wodi ya akina mama na watoto Kituo cha Afya Wilayani Mlandizi. Juni 12,2014 na kukabidhi mashuka kwenye kituo hicho (kulia kwake), Muendeshaji shughuli mama Gaudensia Ndegea (katikati kulia), Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kibaha, Michael John, na Mjumbe wa bodi NHIF, bwana Charlse Kajege.
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa NHIF, Raphael Mwamoto (kulia), akiwakaribisha wageni aliyoambatana nao kutoka katika mfuko huo(wakwanza kulia), Mjumbe wa bodi NHIF, Charlse Kajege, Mjumbe wa bodi wa NHIF Dr. Hashim Mohamed, Diwani wa Mlandizi mama Ndessi, Mkurugenzi wa Matibabu na Huduma za kiufundi Dr. Frank Lekey
Mjumbe wa bodi wa NHIF Dr. Hashim Mohamed(kushoto), akikabidhi mashuka kwa mgeni rasmi, diwani wa Mlandizi mama Ndessi baada ya kufanya ziara katika katika wodi ya akina mama na watoto Kituo cha Afya Wilayani Mlandizi na kukabidhi mashuka kwenye kituo hicho.
Mjumbe wa bodi aliyemuwakilisha Mwenyekiti wa bodi ya NHIF Dr. Hashim Mohamed (katikati), akisisitiza jambo mara baada ya kumaliza ziara hiyo wilayani Mlandizi.
Wajumbe wa bodi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ndugu Charlse Kajege na Dr. Mohamed Hashim wakiwa na diwani wa Mlandizi Mama Dessi wakitandika moja ya mashuka yaliyotolewa na NHIF.katika wodi ya akina mama na watoto Kituo cha Afya Wilayani Mlandizi.
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti,Raphael Mwamoto(kushoto), akimtambulisha Mkurugenzi wa huduma za utabibu na ufundi Dr. Frank Lekey ambaye waliambatana katika ziara hiyo wilayani mlandizi.