Tuesday, June 10, 2014

MKUU WA MKOA WA ARUSHA AFUNGUA MAONYESHO YA SIDO NA TAHA



MKUU WA MKOA WA ARUSHA AFUNGUA MAONYESHO YA SIDO NA TAHA
 Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mh Magessa Mulongo akiwa anaangalia bidhaa zinazotengenezwa na kabila la wahabeshi katika uzinduzi wa maonyesho ya  sido.
 Mkurugenzi wa Sido Taifa Omary Bakari akiwa anasoma risala kwa mgeni rasmi katika maonyesho hayo.
 meneja wa Sido  Isidori kayenze Arusha akiendelea kunogesha maonyesho hayo.
baadhi ya bidhaa za shanga zilizopo katika maonyesho ya sido
 Mkurugenzi wa TAHA, Jacqueline Mkindi akiwa anaangalia na kufurahia bidhaa zinazotengenezwaa na shanga zilizopo katika viwanja vya makumbusho katika maonyesho ya wajasiriamali toka  viwanda vidogo vidogo
 wahadzabe wakiendelea kutengeneza mikuki yao.