Sunday, June 08, 2014

Maalim Seif afunguzi rasmi wa jengo la maalum la mchezo wa Judo, Gombani Chake Chake,Pemba




Maalim Seif afunguzi rasmi wa jengo la maalum la mchezo wa Judo, Gombani Chake Chake,Pemba
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na Balozi wa Japan nchini Tanzania Masaki Okada, wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa jengo la Judo, Gombani Chake Chake Pemba.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Mhe. Said Ali Mbarouk wakati wa uzinduzi huo.
Rais wa heshima wa mchezo wa judo Zanzibar Bw. Shima Oka, akizungumza wakati wa uzinduzi wa jengo hilo Gombani Pemba.
Baadhi ya vijana wakionesha umahiri wao wa mchezo wa karati wakati wa uzinduzi wa jengo la judo Gombani Chake Chake Pemba. (Picha na Salmin Said, OMKR)