Sunday, June 08, 2014

Kiwanda cha nguo cha Mazava cha Morogoro chaadhimisha miaka mitano ya kiutendaji



kiwanda cha nguo cha Mazava cha Morogoro chaadhimisha miaka mitano ya kiutendaji
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Bi. Janet Mbene (kulia) akiingia katika ukumbi kwa ajili ya halfa fupi ya miaka mitano ya kiwanda cha nguo cha Mazava cha Morogoro mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Wengine ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA), Dkt. Adelhelm Meru na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Bw. Joel Bendera (kushoto). Kiwanda hicho kinafanya kazi kwa leseni ya EPZA.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Bi. Janet Mbene akiongea wakati wa halfa fupi ya miaka mitano ya kiwanda cha nguo cha Mazava cha Morogoro mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Kiwanda hicho kinafanya kazi kwa leseni ya EPZA.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA), Dkt. Adelhelm Meru akiongea wakati wa halfa fupi ya miaka mitano ya kiwanda cha nguo cha Mazava cha Morogoro mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Kiwanda hicho kinafanya kazi kwa leseni ya EPZA.