Kikosi cha timu ya Kijitonyama Veterans, ambacho hii kimekubali kipigo cha mabao 3-1 bila shuruti kutoka kwa wapinzani wao, Waukae Veterans, katika mchezo wa kirafiki uliochezwa leo asubuhi katika Uwanja wa Kijitonyama, Dar es salaam. Mabao ya Waukae yamefungwa na Felix Kopou na mawili yakifungwa na Athuma Bamia. Bao la kufutia machozi la Kijitonyama Veterans, likifungwa na Norbert.
Kikosi cha Waukae Veterans.
Wachezaji wa timu zote mbili wakishoo love kabla ya mchezo huo.
Mafoto akisubiri kuchukua nafasi..