Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa umoja wa kamati za mahesabu za nchi za Afrika(Afropac) ili kuziba nafasi ambayo ilikuwa iikishikiliwa na nchi ya Msumbiji.
Baada ya kuchaguliwa kupitia ukurasa wake wa Facebook hiki ndicho alichokiandika.